Wasanii wachanga wa bongo movie watakiwa kufanyakazi kwa bidii
Wasanii wachanga wa filamu za Kitanzania maarufu kama bongo muvi wametakiwa kufanya kazi kwa bidi ili kuweza kuzalisha kazi zenye ubora na zenye kuleta manufaa kwa jamii.
Baadhi ya wasanii maarufu wa BONGO MOVIE

Wasanii wachanga wa filamu za Kitanzania maarufu kama bongo muvi wametakiwa kufanya kazi kwa bidi ili kuweza kuzalisha kazi zenye ubora na zenye kuleta manufaa kwa jamii.

Kauli hiyo imetolewa na muandaaji wa filamu mpya ya Kiswahili NAJIMA SHARIFF ambae ameendesha usahili wa kutafuta wasanii wapya wa kuigiza filamu hiyo kauli iliyoungwa mkono na meneja wa sabuni ya Maq ambao ndio wadhamini wa uthahili huo .

Filamu hiyo mpya itaanza kutengenezwa mwezi ujao wa January 2017ambapo wasanii  wachanga ndio watakaopewa nafasi kubwa ya kuigiza kwenye filamu hiyo.

EVANCE MHANDO

DESEMBA 17, 2016

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI