Mifuko ya UTT yapata tuzo ya uendeshaji bora
Mifuko ya uwekezaji ya UTT AMIS imepata tuzo ya CFI, inayotelewa na jarida la habari za biashara na uchumi la nchini Uingereza, kutokana na uendeshaji bora wa mifuko
Mwenyekiti wa bodi ya UTT AMIS JOSEPH KUZILWA

Mifuko ya uwekezaji ya UTT AMIS imepata tuzo ya CFI, inayotelewa na jarida la habari za biashara na uchumi la nchini Uingereza, kutokana na uendeshaji bora wa mifuko ya uwekezaji.

Akipokea tuzo hiyo jijini DSM mwenyekiti wa bodi ya UTT AMIS JOSEPH KUZILWA amesema thamani ya vipande vya mifuko ya Umoja Fund, wekeza maisha na watoto fund imeongezeka maradufu katika kipindi cha miaka kumi iliyopita kutokana na uendeshaji bora wa mifuko hiyo.

 

Mwenyekiti wa CFI, TOR SVENSSON amesema tuzo hiyo hutolewa kwa kampuni mbalimbali duniani ambazo zinaonesha zinachangia ukuaji ya pato la nchi na kuongeza faida kwa wawekezaji wa mifuko kama ulivyofanikiwa mfuko wa UTT AMIS

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI