Ratiba ya ligi kuu 2016/2017 kutobadilika
Bodi ya Ligi imesema ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara,msimu wa 2016/2017 haitobadilika badilika kama ya msimu huu na kuwataka wadau wa soka kujiandaa na ratiba hiyo
Mkurugezi Mkuu wa Bodi ya Ligi BONIFANCE WAMBURA

Mkurugezi Mkuu wa Bodi ya Ligi BONIFANCE WAMBURA amiambia TBC Jijini DSM kuwa ratiba ya msimu uliomalizika ilikuwa inabadilika kutokana na matukio mbalimbali ya kimichezo ambayo yatazigatiwa katika ratiba ya msimu ujao.

 

WAMBURA amesema fujo viwanjani zitadhibitiwa, mategenezo ya viwanja pia yatafayika kwa wakati ili kuifanya ligi kuwa katika viwango vya vya hali ya juu.

 

Ligi Kuu Soka Tanzania Bara inatarajiwa kuanza AGOSTI mwaka huu.

 

June 1, 2016

MALYO NJEDENGWA

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI