Watoto 88 waliotekwa nchini ETHIOPIA waachiwa huru
Watoto themanini na wanane wa ETHIOPIA waliokuwa wametekwa na watu wenye silaha SUDAN ya Kusini Aprili mwaka huu wameachiwa huru na kurejeshwa kwao

Shirika la kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa – UNICEF- limesema karibu watu 216 wameuawa na watoto 136 wametekwa  wakati wa mapigano yaliyotokea katika jimbo la GAMBELLA lililoko kusini kaskazini mwa mpaka wa ETHIOPIA April 15 mwaka huu.

UNICEF imesema watoto watano kati ya hao waliochiwa huru wana utapiamlo akiwemo mtoto mwenye umri wa miezi sita.

 

June 10, 2016

Martha Ngwira

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI