Bei ya bidhaa yapanda sokoni Kariakoo
Bei ya jumla ya baadhi ya bidhaa sokoni kariako imepanda katika msimu huu wa kilimo. Mtakwimu wa shirika la masoko la kariakoo HENRY RWEJUNA amezitaja bidhaa hizo kuwa ni vitunguu ambavyo vimepanda bei kutoka shilingi 190,000
Bei ya bidhaa yapanda sokoni Kariakoo

Bei ya jumla ya baadhi ya bidhaa  sokoni kariako imepanda katika msimu huu wa kilimo.

 

Mtakwimu wa shirika la masoko la kariakoo HENRY RWEJUNA amezitaja bidhaa hizo kuwa ni vitunguu ambavyo vimepanda bei kutoka shilingi 190,000 hadi shilingi laki mbili kwa gunia la kilo mia moja.

 

Bidhaa nyingine ni nyanya ambazo zimepanda bei kutoka shilingi elfu 20 hadi shilingi elfu 28 kwa tenga la kilo 40 na malimao yamepanda  kutoka shilingi elfu 50 hadi shilingi elfu 65 kwa gunia la kilo 50.

 

March 22, 2016

FATUMA MATULANGA

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI