Mahakama ya RWANDA kusikiliza kesi inayompinga rais wao kutogombea tena
Mahakama ya rufaa nchini RWANDA imetangaza kuwa itasikiliza kesi ya madai iliyowasilishwa mahakamani hapo inayopinga rais wa wan chi hiyo PAUL KAGAME
PAUL KAGAME

Mahakama ya rufaa nchini RWANDA imetangaza kuwa itasikiliza kesi ya madai iliyowasilishwa mahakamani hapo inayopinga rais wa wa nchi hiyo PAUL KAGAME, ya kutaka kugombea kiti cha urais kwa awamu ya tatu.

Bunge la RWANDA limepitisha muswada wa kuongeza muhula wa uongozi kwa rais, kutoka miaka miwili hadi mitatu.

Serikali ya MAREKANI, pamoja na vyama vya upinzani nchini RWANDA, vimeupingwa muswada huo.

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI