MAREKANI yaishutumi IS kwakutumia silaha za kemikali
MAREKANI imewashutumu Wanamgambo wa IS kwa kutumia silaha za kemikali ili kuangamiza raia katika nchi za IRAQ na SYRIA
MAREKANI yaishutumi IS kwakutumia silaha za kemikali

MAREKANI imewashutumu Wanamgambo wa IS  kwa kutumia silaha za kemikali  ili kuangamiza raia katika nchi za IRAQ na SYRIA.

Katika taarifa yao Maafisa wa serikali ya MAREKANI wamesema kuwa silaha hizo za kemikali tayari zimetumika katika maeneo manne yaliyopo katika eneo la mpaka wa nchi hizo Mbili.

Maafisa hao wamedai kuwa kuna uwezekanao mkubwa kwa Wanamgambo hao wa IS wana eneo maalum ambalo limeandaliwa kwa ajili ya kutengeneza silaha za aina hiyo.

Hata hivyo bado haijafahamika kama eneo hilo la kutengeneza silaha za kemikali lipo nchini IRAQ ama SYRIA.

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI