Jamii yahamasishwa kushiriki bahati nasibu
Baadhi ya watu waliojishindia zawadi kutoka kampuni ya Global Publishers wanaoendesha shindano la jishindie nyumba wamesema zawadi walizopata ni faida kwa maisha yao ya kila siku

Baadhi ya watu waliojishindia zawadi kutoka kampuni ya Global Publishers wanaoendesha shindano la jishindie nyumba wamesema zawadi walizopata ni faida kwa maisha yao ya kila siku.

Wakizungumza mara baada ya kukabidhiwa zawadi zao washindi hao kutoka mikoa mbalimbali ya TANZANIA wameomba jamii kuendelea kushiriki bahati nasibu hiyo.

Baadhi ya zawadi zilizotolewa ni luninga, King’amuzi, mashuka na simu ambapo zawadi kubwa inayosubiriwa ni nyumba.

14 January 2016

Na Jane John

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI