Airtel yazindua huduma mpya
Kampuni ya simu za mikinoni ya AIRTEL imezindua huduma maalum ya AirtelYATOSHA NIGHT ambayo inawawezesha wateja wa Airtel kuwasiliana nyakati za usiku
Afisa Uhusiano wa Airtel, Jane Matinde(kulia) na Afisa Uhusiano na Matukio wa Airtel, Dangio Kaniki wakionyesha bango kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kama ishara ya kuzindua huduma mpya ya kifurushi cha "Yatosha Nyts"

Kampuni ya simu za mikinoni ya AIRTEL imezindua huduma maalum ya AirtelYATOSHA NIGHT ambayo inawawezesha wateja wa Airtel kuwasiliana nyakati za usiku.

 Afisa Mahusiano wa kampuni hiyo JANE MATINDE amesema kupitia huduma hiyo, wateja wa Airtel wataweza kupiga simu, kutuma ujumbe na kupata huduma za internet kwa gharama nafuu.

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI