Bei ya mahindi yapanda
Bei ya mahindi katika soko la nafaka la Tandale jijini Dar Es Salaam imepanda kutoka shilingi 700 kwa kilo na kufikia shilingi elfu 1000.

Bei ya mahindi katika soko la nafaka la Tandale jijini Dar Es Salaam imepanda kutoka shilingi 700 kwa kilo na kufikia shilingi elfu 1000.

Baadhi ya wafanyabiashara wa mahindi katika soko hilo wamesema mahindi yameanza kupanda kuanzia mwezi Desemba mwaka jana kutokana na kuingizwa kwa uchache kutoka mikoani.

Hata hivyo kutokana na kupanda kwa bei ya mahindi kumesababisha kupanda  kwa bei ya unga wa sembe ambapo kilo moja kwa sasa inauzwa kati ya shilingi 1400 mpaka shilingi 1500 kutoka shilingi 1000 ya hapo awali kama wanavyoelezea baadhi ya wakina mama.

VUMILIA MWASHA

JANUARI 06, 2017

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI