Mwanamuziki Sara Lashoni avutiwa na Muziki wa singeli
Mwanamuziki SARA LASHONI wa SWEDEN amesema amevutiwa na muziki mpya wa SINGELI na kutaka siku moja na yeye kurekodi japo wimbo mmoja wa singeli.
Wapenzi wa Muziki wa Singeli wakitumbuizwa na mwanamuziki maarufu wa Muziki huo nchini, Machupa.

Mwanamuziki SARA LASHONI wa SWEDEN amesema amevutiwa na muziki mpya wa SINGELI na kutaka siku moja na yeye kurekodi japo wimbo mmoja wa singeli.

Akizungumza na TBC, SARA amesema muziki huo una mvuto na unaibua hisia kuanzia kwa msanii husika hadi wasikilizaji.

Msanii huyo yupo hapa nchini kwa mapumziko na kazi za muziki na amesharekodi wimbo mmoja na msanii wa Hip pop Fid Q.

JANE JOHN

JANUARI 03, 2017

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI