Mwenyekiti wa chama cha mpira cha ILEJE atangaza kuanzisha timu
Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu wilayani Ileje-(IREFA) mkoani SONGWE, RAIA MBEMBELA ametangaza mikakati ya uanzishwaji wa Timu ya wilaya hiyo, ambayo katika kipindi cha miaka miwili ijayo itapanda daraja na kushiriki ligi kuu Tanzania bara.

Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu wilayani Ileje-(IREFA) mkoani SONGWE, RAIA MBEMBELA ametangaza mikakati ya uanzishwaji wa Timu ya wilaya hiyo, ambayo katika kipindi cha miaka miwili ijayo, itapanda daraja na kushiriki ligi kuu Tanzania bara.

 

MBEMBELA ametoa mikakati hiyo wakati wa mahojiano maalum na Mwandishi wa TBC, HOSEA CHEYO na kusema wamejipanga vizuri ili kuweza kufanikisha mikakati yao.

 

 

HOSEA CHEYO

DESEMBA 13, 2016

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI