Vilabu vyatakiwa kushirikiana na Uturuki
Vilabu vya Simba na Yanga vimeshauriwa kufanya urafiki na vilabu vya Uturuki ili kupata fursa mbalimbali za uwekezaji katika soka.

Vilabu vya Simba na Yanga vimeshauriwa kufanya urafiki na vilabu vya Uturuki ili kupata fursa mbalimbali za uwekezaji katika soka.

Kiongozi wa msafara wa wafanyabiashara kutoka Uturuki ambao wapo nchini kwa ajili ya mazungumzo na wafanyabiashara wa Tanzania, ONUR amesema,vilabu vya Simba na Yanga, vina nafasi ya kuwekeza katika viwanda vya utengenezaji wa vifaa vya michezo kwa kushirikiana na vilabu vya Uturuki.

Vilabu vya Uturuki ambavyo vinaweza kufanya ushirikiano na vilabu vya Tanzania ni FENERBAHCE na GALATASARAY.

MALYO CHETO

NOVEMBA 07, 2016

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI