Raia wa IRAN ashikiliwa kwa tuhuma za kuichunguza nchi hiyo
Mahakama nchini IRAN inamshikilia mfanyabiashara mwenye uraia wa IRAN na MAREKANI pamoja na baba yake, miaka kumi jela kutokana na kushirikiana na Marekani

Taarifa zinasema wawili hao ni kati ya kundi la watu sita ambao waliwahi kushitakiwa kwa kosa la kuichunguza IRAN.

Mwezi Oktoba mwaka 2015 chama cha kimapinduzi cha IRAN kilimkamata mfanyabiashara huyo mwenye uraia wa nchi mbili wakati akiwa safarini kwenda kusalimia familia yake, na mwaka huo huo walimkamata baba wa mfanyabiashara huyo mwenye uraia wa nchi mbili yaani IRAN na MAREKANI

 

Oktoba 19, 2016

DOREEN MLAY

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI