Mataifa ya AFRIKA yakutana kujadili masuala yahusuyo sekta ya Majini
Mataifa 54 ya Afrika yanakutana Mjini ABDJAN nchini IVORY COAST kujadili masuala ambalimbali ya sekta ya majini ikiwemo namna kuendeleza sekta ya uvuvi

Mkutano huo pia utajadili namna ya kupambana na vitendo vya uharamia ambapo vitendo hivyo vimeelezwa kurudisha nyuma biashara.

Pamoja na mambo mengine wajumbe wa mkutano huo watajadili masuala ya uvuvi haramu na uchafuzi wa mazingira.

Aidha wajumbe hao watajadili mikakat ya uwekezaji katika sekta ya majini.

OKTOBA 16,2016
EDWARD KONDELA

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI