Mfanyakazi wa TBC ENOCK BWIGANE ashinda nafasi ya Ujumbe Chama cha Soka MBEYA
Huko mkoani MBEYA MTANGAZAJI wa TBC ENOCK BWIGANE MWASUBILA ameshinda nafasi ya ujumbe aliyokuwa akigombea huko mkoani MBEYA katika chama cha soka mkoa wa MBEYA MREFA

Mgeni rasmi katika uchaguzi huo ni mwenyekiti wa chama cha soka mkoani MARA RICHARD WAMBURA amewataka viongozi hao kuwa na ushirikiano huku mwenyekiti aliyeshinda ELIAS MWANJALA pamoja na mjumbe ENOCK BWIGANE wakaweka bayana mikakati yao.

Nafasi ya makamu mwenyekiti imechukuliwa na WATSON MWAKASULA, katibu mkuu ni SULEIMAN HARU na katibu mkuu msaidizi ni LUCAS KUBAJA.

 

OKTOBA 16,2016
HOSEA CHEYO

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI