Wananchi PHILIPPINES waendelea kutoa ushahidi wa mauaji aliyoshiriki Rais wao
Mashahidi mbalimbali nchini PHILIPPINES wameanza kutoa ushahidi wao kwenye tume ya bunge la nchi hiyo kuthibitisha kuwa Rais wa sasa wa nchi hiyo RODRIGO DURTETE, alishiriki katika mauaji ya watu wengi nchini humo wasiokuwa na hatia.

Familia ya mtu mmoja aliyeuwa wametoa picha zinazoonyesha ndugu yao, akisimamishwa na Polisi, na kuingiza kwenye karandiga, na baada ya siku moja mwili wake ukakutwa ukiwa umetupwa vichakani, akiwa tayari ameuawa.

 

September 28, 2016

NYAMBONA MASAMBA

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI