Wakazi wa ULANGA wahamasisha ngoma ya SANGULE
Ngoma ya SANGULE, imetajwa kuwa ngoma pekee iliyobaki wilayani Ulanga ambayo inadumisha mila na desturi ambazo zimekuwa msaada

Ngoma ya SANGULE, imetajwa kuwa ngoma pekee iliyobaki wilayani Ulanga ambayo inadumisha mila na desturi ambazo zimekuwa msaada wa kuiasa jamii isiishi kinyume na maadili ya mtanzania.

 

Mwenyekiti wa ngoma ya SANGULE ya MAHENGE Wilayani Ulanga GILE NYAMBILA, amesema kamwe hawataacha kudumisha mila za maeneo hayo, nakwamba serikali iwaunge mkono na wala si vinginevyo.

 

Ngoma hiyo inajumuisha wanawake ambao wanaamini kuwa ni ngoma inayotoa burudani kuliko ngoma zingine duniani.

 

September 20, 2016

HOSEA CHEYO

 == = ==  

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI