Wananchi wa KENYA waaswa kuwa waangalifu na magaidi
Msemaji wa Serikali ya KENYA, ERIK KIRAITHE amewataka wananchi wa taifa hilo hususan walioko MOMBASA kuwa waangalifu baada ya shambulio

Msemaji wa Serikali ya KENYA, ERIK KIRAITHE amewataka wananchi wa taifa hilo hususan walioko MOMBASA kuwa waangalifu baada ya shambulio lililotokea katika kituo kimoja cha polisi mjini humo hivi karibuni.

Amesema kila mtu anapaswa kuchukua tahadhari kutokana na uwezekano wa mashambulio ya kigaidi.

Katika shambulio la hivi karibuni polisi WATATU wamejeruhiwa kwenye kituo cha polisi na hali zao zinaendelea vizuri.

 

 

September 16,2016
DOROTHY MMARI
=====

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI