Wacheza ngoma ya wakaguru GAIRO wabeba ndoo ya maji kwa meno
Katika hali isiyokuwaa ya Kawaida, ngoma ya wakaguru kijiji cha Madege, wilayani Gairo, imewaacha midomo wazi mamia ya wananchi waliofurika

Katika hali isiyokuwaa ya Kawaida, ngoma ya wakaguru kijiji cha Madege, wilayani Gairo, imewaacha midomo wazi mamia ya wananchi waliofurika katika viwanja vya kijiji hicho, pale ambapo mchezaji ngoma mmoja amebeba ndoo ya maji ya lita 20 kwa meno.

 

Kiongozi wa Ngoma hiyo MUYACHI DOGI amesema zoezi la ubebaji wa maji kwa kutumia meno haina nguvu mbadala, badala yake,ni mazoezi yanayowasaidia kufanya hayo yote.

 

Ngoma hiyo imejizoelea umarufu katika ukanda wa mashariki na ndio ngoma pekee inayowatambulisha wakaguru ndani na nje ya mipaka ya mkoa wa Morogo, UDUMANGE.

 

September 14, 2016

HOSEA CHEYO

 

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI