Katavi kujenga uwanja wa michezo
Waziri wa nchi ,ofisi ya Waziri mkuu sera,bunge,kazi,vijana,ajira na watu wenye ulemavu Jenista Mhagama ametembelea uwanja wa michezo wa mwenge uliopo manispaa ya Mpanda mkoani Katavi.
Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bbunge, Kazi, Vijana, Aajira na Watu wenye ulemavu, Jenista Mhagama.

Waziri  wa nchi ,ofisi  ya  Waziri  mkuu sera,bunge,kazi,vijana,ajira na watu wenye ulemavu Jenista Mhagama ametembelea uwanja wa michezo wa mwenge uliopo manispaa ya Mpanda mkoani Katavi.

Akizungumza mara baada ya ziara hiyo Waziri Mhagama amepongeza  jitihada na maamuzi ya  mkoa wa Katavi kuujenga uwanja huo.

ADOLPH MBATA

MACHI 20, 2017

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI