TRA yaendelea na msimamo wake dhidi ya TFF
Mamlaka ya Mapato TANZANIA-TRA, bado imezifunga ofisi za shirikisho la soka hapa nchini -TFF tangu juma lililopita.
Ofisi za shirikisho la soka hapa nchini -TFF ambazo zimefungwa Mamlaka ya Mapato nchini, TRA kufuatia deni linalodaiwa naTRA kwa TFF

Mamlaka ya Mapato TANZANIA-TRA, bado imezifunga ofisi za shirikisho la soka hapa nchini -TFF tangu juma lililopita.

Shirikisho hilo limesema  bado mazungumzo kati yao na TRA yanaendelea na wana uhakika hivi punde suala hilo litamalizika.

JANE JOHN

MACHI 20, 2017

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI