Majeshi ya Syria yarejesha maeneo yaliyotekwa na waasi
Vyombo vya habari nchini SYRIA vinasema majeshi ya serikali ya nchi hiyo, yamefanikiwa kuyatwaa tena maeneo yote yaliyokuwa yametekwa na waasi nchini humo siku ya Jumapili.
Vita, SYRIA.

Vyombo vya habari nchini SYRIA vinasema majeshi ya serikali ya nchi hiyo, yamefanikiwa kuyatwaa tena maeneo yote yaliyokuwa yametekwa na waasi nchini humo siku ya Jumapili.

Majeshi ya serikali ya SYRIA yamefanikiwa kuwadhibiti waasi baada ya kupata msaada kutoka kwa majeshi ya kigeni, yakiwemo yale ya RUSSIA.

Hata hivyo wanaharakati nchini SYRIA wanasema mapigano kati ya majeshi ya serikali ya waasi ni makali na hali ya utulivu bado haijarejea nchini humo.

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI