Soko kuu Bukoba lakosa wateja
Wachuuzi wa vyakula vya nafaka katika soko kuu la mjini BUKOBA wanasema kuchelewa kwa mvua kumesababisha bei za vyakula kupanda.
Soko Kuu la Bukoba.

Wachuuzi wa vyakula vya nafaka katika soko kuu la mjini BUKOBA wanasema kuchelewa kwa mvua kumesababisha bei za vyakula kupanda.

Mwandishi wetu ametembelea   katika soko kuu mjini Bukoba na kushuhudia wateja wachache ndani ya soko hilo huku wachuuzi wa bidhaa mbalimbali hususani vyakula wakiwa hawana uhakika wa kuuza bidhaa zao.

CHARLES MWEBEYA

MACHI 16, 2017

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI