Walemavu wa kusikia waomba kujengewe uwezo kiuchumi
Baadhi ya watu wenye ulemavu wa kusikia wanaojishuhgulisha na shughuli za ujasiriamali mkoani KIGOMA wameiomba serikali ya mkoa huo kuwajengea uwezo kiuchumi ikiwa ni pamoja na kuwapunguzia kiwango cha tozo la kodi katika biashara zao.

Walemavu hao wametoa ombi hilo mkoani KIGOMA wakati wakizungumza na TBC mara baada ya kushiriki  semina ya mafunzo ya utambuzi wa noti bandia kwa viziwi ambayo yametolewa na watalam kutoka benki kuu ya Tanzania -BOT.

EGIDIUS AUDAX

MACHI 14, 2017

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI