Wakazi wa Vigwaza wajitolea kujenga vyumba sita vya madarasa
Wakazi wa kijiji cha Vigwaza mkoani Pwani wamejitolea kujenga vyumba sita vya madarasa katika shule ya msingi Vigwaza ili kupunguza tatizo la upungufu wa vyumba vya madarasa vinavyoikabili shule hiyo.

Mwenyekiti wa kijiji hicho, Ramadhani Kirumbi amesema hatua ya ujenzi huo imefikiwa baada ya wananchi  kutoridhishwa  na hali ya upungufu wa  vyumba vya madarasa.

JOSEPH CHEWALE

MACHI 12, 2017

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI