Shambulio lakujitoa mhanga laua 75 na kujeruhi 250 PAKISTAN
Zaidi ya watu 75 wamekufa na wengiune 250 kujeruhiwa baada ya kutokea shambuli la bomu la kujitoa muhanga katika eneo la LAL SHAHBAZ QALANDAR , mjini Sehwan kusini mwa nchi ya PAKSTAN.

Zaidi ya watu 75 wamekufa na wengiune 250 kujeruhiwa baada ya kutokea shambuli la bomu la kujitoa muhanga  katika eneo la LAL SHAHBAZ QALANDAR , mjini Sehwan kusini mwa nchi ya PAKSTAN.

Mmoja wa askari poli kutoka mji wa Sehwan KHADIM HUSSAIN amesema wanaume 43, wanawake 9  na watoto 20 ni kati ya waliojeruhiwa na mlipuko wa bomu hilo lililotokea wakati wa mkusanyiko wa watu waliokuwa kwenye ibada ya kidini katika makaburi.

Tayari kikosi cha dola ya kiislam kwa kutumia tovuti yake ya habari kimesema kimehusika na shambulio hilo.

Taarifa kutoka Islamabad inasema mamia ya waliojeruhiwa wamekimbizwa katika hospitali iliyokaribu na eneo la tukio kwa ajili ya matibabu.

KHALID GANGANA

FEBRUARI 17, 2017 

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI