Wawili washinda gari shindano la NBC
Wateja wawili wa Benki ya biashara ya taifa NBC ALDO MSUHA wa TABATA jijiji DSM na LAWRENCE NJAZI wa MBEYA wamejipatia zawadi za gari aina ya TOYOTA HILLUX baada ya kuibuka washindi wa bahati nasibu ya MALENGO AKAUNTI iliyochezeshwa leo jijini DSM

Wateja wawili wa Benki ya biashara ya taifa NBC ALDO MSUHA wa TABATA jijiji DSM na LAWRENCE NJAZI wa MBEYA wamejipatia zawadi za gari aina ya TOYOTA HILLUX baada ya kuibuka washindi wa bahati nasibu ya MALENGO AKAUNTI iliyochezeshwa leo jijini DSM.

 

Akizungumza mara baada ya kupatikana kwa washindi hao MKURUGENZI WA WATEJA BINAFSI wa benki ya NBC FILBERTY MPONZI amesema washindi hao wamejipatia zawadi hizo zenye thamani ya shilingi milioni mia moja na kumi na sita kila mmoja baada ya kukamilika kwa kampeni ya kuhamasisha wateja kuweka fedha benki

 

 

STANLEY GANZEL

FEBRUARI 16, 2017

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI