ZANTEL MADRASA yazinduliwa
Kampuni ya simu ya Zantel imeanzisha huduma ya simu kwa ajili ya waumini wa dini ya kiislamu - ZANTEL MADRASA ambayo itawawezesha waumini hao kupata mafundisho ya dini yao kupitia simu ya mkononi.
Afisa wa huduma na bidhaa wa Zante,l EMMILIANA VAKOLAVENE

Kampuni ya simu ya Zantel imeanzisha huduma ya simu kwa ajili ya waumini wa dini ya kiislamu - ZANTEL MADRASA ambayo itawawezesha waumini hao kupata mafundisho ya dini yao kupitia simu ya mkononi.

 Afisa wa huduma na bidhaa wa zantel EMMILIANA VAKOLAVENE amesema huduma hiyo inamuwezesha muumini wa dini ya kiislamu kupata HADITHI ZA MTUME, AYA ZA QURAN na DUA kupitia  ujumbe mfupi wa maneno au kupiga simu .

Akizindua huduma hiyo jijini DSM Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeiry bin Ally amesema Zantel imewarahishia kazi viongozi wa dini ya kiislamu kwani waumini wake watapata mafundisho ya dini yao mahali popote walipo.

STANLEY GANZEL

FEBRUARI 16, 2017

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI