Sheria ya ununuzi wa umma yafanyiwa marekebisho
Wakala wa huduma ya ununuzi serikalini imerekebisha sheria ya kuwapata wazabuni wa vifaa na huduma mtambuka kwa kuanzisha mikataba ya mwaka mmoja itakayotumiwa na taasisi zitakazofanya ununuzi wa umma kwa mwaka 2017/2018

kaimu afisa mtendaji mkuu wa wakala wa huduma ya ununuzi serikalini JACOB KIBONA amesema kutokana na mabadiriko ya bei yanayosababishwa na mfumuko wa bei wameondoa kipengere cha kupanga bei katika zabuni ili kuwafanya wazabuni kuweka bei halisi zinazoendana na mwenendo wa soko la wakati huo

aidha KIBONA amesema watatangaza zabuni za vifaa na huduma 25 ifikapo februari 27 mwaka huu zitakazoshindaniwa kuanzia mwezi julai kwa kutumia utaratibu mpya wa mikataba

STANLEY GANZEL

FEBRUARI 16, 2017

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI