Mkuu wa mkoa wa MBEYA afanya ziara ya kushtukiza LUANDA
Mkuu wa mkoa wa MBEYA AMOS MAKALA ametoa siku tatu kwa wakandarasi kukarabati miundombinu katika baadhi ya barabara zilizopo kata ya LUANDA

Mkuu wa mkoa wa MBEYA AMOS MAKALA ametoa siku tatu kwa wakandarasi kukarabati miundombinu katika baadhi ya barabara zilizopo kata ya LUANDA jijini MBEYA.

  MAKALA ametoa agizo hilo baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika eneo hilo ambako wananchi wamemlalamikia kuhusu adha ya mawasiliano yanayoipata kutokana na ubovu wa barabara.

 

 

HOSEA CHEYO

Februari 13, 2017

= = == =

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI