YANGA yaichakaza NGAYA CLUB DE MDE 5-1
Mabingwa wa Tanzania,YANGA imeanza vyema michuano ya ligi ya mabingwa Barani Afrika,baada ya kuifunga,NGAYA CLUB DE MDE ya COMORO mabao MATANO kwa MOJA katika mchezo wa awali uliochezwa mjini MORONI,nchini Comoro.

Mabingwa wa Tanzania,YANGA imeanza vyema michuano ya ligi ya mabingwa Barani Afrika,baada ya kuifunga,NGAYA CLUB DE MDE ya COMORO mabao MATANO kwa MOJA katika mchezo wa awali uliochezwa mjini MORONI,nchini Comoro.

 

Mabao ya YANGA yamefungwa na JUSTIN ZULU, SIMON MSUVA, OBREY CHIRWA ,AMISSI TAMBWE NA THABANI KAMUSOKO.

 

Bao la kufutia machozi la Ngaya limefungwa na SAID MOHAMMED katika dakika  ya 66 ya kipindi cha pili.

 

Mechi ya marudiano itafanyika wiki mbili zijazo,na iwapo yanga itafuzu kwa hatua inayofuta itacheza na mshindi kati ya APR ya RWANDA na  Zanaco FC ya ZAMBIA.

 

Nayo timu ya KVZ ya ZANZIBAR imeibuka kidedea baada ya kuitandika timu ya MESSENGER NGOZI ya BURUNDI magoli MAWILI kwa MOJA mchezo ukipigwa kwenye dimba la AMAN ZANZIBAR

 

Matokeo ligi ya mabingwa Afrika

Kampala CCA 1 – 0 Primeiro de Agosto

JS Saoura1 – 1 Enugu Rangers

CNaPS Sport 2 – 1 Township Rollers

Cote d'Or 0 – 2 Kedus Giorgis

Tusker 1 – 1 AS Port-Louis 2000

Royal Leopards 0 – 1 AS Vita Club

Zanaco FC 0 – 0 APR FC

Zimamoto 2 – 1 Ferroviario Beira

Lioli 0 – 0 CAPS United FC

Saint-Louisienne 2 – 1 Bidvest Wits

AS Tanda 3 – 0 AS FAN

RC Kadiogo 3 – 0 Diables Noirs

FC Johansen 1 – 1 FUS Rabat

Mounana 2 – 0 Vital'O

Gorée 0 – 0 Horoya

Real Bamako 0 – 0 Rivers United FC

 

 

JANE JOHN

FEBRUARI12, 2017

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI