MMOJA ACHUKUA FOMU KUWANIA UONGOZI CHAMA CHA TENESI TANZANIA
Baraza la Michezo Taifa BMT limesema,mpaka sasa ni mtu mmoja tu kachukua na kurudisha FOMU kwa ajili ya kungombea uongozi wa chama cha mchezo wa TENESI

Baraza la Michezo Taifa BMT limesema,mpaka sasa ni mtu mmoja tu kachukua na kurudisha FOMU kwa ajili ya kungombea  uongozi wa chama cha mchezo wa TENESI TANZANIA ambao umepangwa kufanyika FEBRUARI 11 mwaka huu.

Afisa Habari wa BMT,NAJAH KADIRI amewahimiza watu wenye uwezo wa kuongoza mchezo huo kuendelea kujitokeza kuchukua na kurudisha fomu ili kupata viongozi bora wa kuendeleza mchezo huo.

 

 

MALYO NJEDENGWA

Februari 2, 2017

====

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI