Ivan Rakitic kujiunga na Manchester City
Kiungo mshambuliaji wa Barcelona, Ivan Rakitic anatarajiwa kujiunga na Manchester City kufuatia kushindwa kujihakikishia nafasi kwenye kikosi cha kwanza cha FC Barcelona.
Kiungo wa Barcelona, Ivan Rakitic. Rakitic anahusishwa na mpango wa kuhamia katika klabu ya Manchester City

Kiungo mshambuliaji wa Barcelona, Ivan Rakitic anatarajiwa kujiunga na Manchester City kufuatia kushindwa kujihakikishia nafasi kwenye kikosi cha kwanza cha FC Barcelona.Taarifa kutoka Hispania na Croatia zinasema Rakitic ambaye mkataba wake unaisha mwaka 2019 hajapewa maboresho huku akiwa na nafasi ndogo kuanza katika timu hiyo.Rakitic amekuwa akisifiwa na kocha wa City, Pep Guardiola na kuonesha nia ya kumuhitaji kiungo huyo klabuni hapo.

 

 

JANE JOHN

JANUARI 11, 2017

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI