Filamu ya La La Land yapata tuzo saba
Filamu ya La La Land imevunja rekodi kwa kupata tuzo saba katika tuzo za Golden Globe.
Filamu ya La La Land, katika picha na moja ya tuzo iliyochukua katika tuzo za Golden Globe

Filamu ya La La Land imevunja rekodi kwa kupata tuzo saba katika tuzo za Golden Globe.

 

Filamu hiyo ya muziki imeshinda tuzo katika nafasi zote ilizowania ikiwemo filamu bora ya muziki au kuchekesha, mwongozaji bora, uigizaji bora na wimbo.

 

Nyota wa filamu hiyo Emma Stone na Ryan Gosling pia wameshinda katika nafasi zao za uigizaji.

 

 

JANUARI 09, 2017

MOST POPULAR
+
+
HABARI ZINAZO HUSIANA
ZILIZOSOMWA ZAIDI