Responsive image
Responsive image
Posted : May 11, 2018 (2 weeks ago) By TBC
Responsive image
Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani
Responsive image

Wizara ya Nishati imewataka wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini (REA) katika awamu ya tatu kukamilisha miradi hiyo ifikapo june 2019 na kwamba serikali  haitaongeza muda kwa wataoshindwa kukamilisha kazi hiyo kwa muda uliopangwa.

Hayo yamesemwa na Waziri wa nishati Dokta Medard Kalemani wakati alipotembelea na kukagua utekelezaji wa miradi ya REA katika wilayani za Same na Siha mkoani Kilimanjaro.

Kwa upande wake Mkuu wa wilaya ya Same, Rosemary Senyamule amesema mradi huo utasaidia kukabiliana na changamoto ya umeme iliyokuwa ikiwakabili wananchi wilayani humo.

SAUDA SHIMBO

11 MAY 2018

 

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment