Responsive image
Responsive image
Posted : April 23, 2018 (4 weeks ago) By TBC
Responsive image
Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa
Responsive image

Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ameitaka serikali ya Marekani kuendelea kusimamia mkataba kuhusiana na mpango wa nyuklia wa amani kama pande hizo zilivyokubaliana hapo awali.

Rais Donald Trump wa Marekani alitishia kujitoa kwenye mazungumzo ya amani ya Iran na hivyo kuvunja makubaliano yaliyofikiwa kati ya pande hizo mbili, hali iliyosababisha Iran kuondolewa vikwazo vya kimataifa.

Macron anatarajiwa kuwasili Marekani leo ambako atakuwa na mazungumzo na trump. Macron amesema ni vyema mazungumzo kati ya jumuiya ya kimataifa na Iran yakawepo kuliko kuwa na hali kama ilivyo huko Korea Kaskazini.

 

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment