Responsive image
Responsive image
Posted : April 20, 2018 (a month ago) By TBC
Responsive image
Msanii Agnes Masogange enzi za uhai wake
Responsive image

Msanii wa video (Video vixen Bongo) Agnes Gerald maarufu kama ‘Masogange’ amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi.

Imeelezwa kuwa chanzo cha kifo hicho ni presha kupanda ghafla hadi kupelekea kulazwa katika hospitali ya Mama Ngoma iliyopo mwenge jijini Dar es Salaam ambapo alipatiwa matibabu na kifo kumkuta hospitalini hapo.

 

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment