Responsive image
Responsive image
Posted : April 08, 2018 (2 weeks ago) By TBC
Responsive image
Ghorofa la Trump lililoko Newyork Marekani ambalo limewaka moto na kusababisha kifo cha mtu mmoja na majeruhi kadhaa
Responsive image

Mtu mmoja amekufa na maofisa wanne wa jeshi la zimamoto wamejeruhiwa katika moto uliotokea katika Ghorofa la Trump mjini New York nchini Marekani.

Mwathirika huyo mwanaume alikuwa akiishi katika jengo hilo na alikufa baada ya kupelekwa hospitali.

Rais wa Marekani Donald Trump ana makazi na ofisi yake katika jengo hilo, lakini Mke wake Melania na mtoto wao Baron kwa sasa wanaishi jijini Washington DC.

Sababu za moto huo bado hazijajuliakana.

(CHANZO BBC)

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment