Responsive image
Responsive image
Posted : April 05, 2018 (3 weeks ago) By TBC
Responsive image
Kamanda wa polisi mkoa wa Tabora Kamishna Msaidizi Mwandamizi Wilbroad Mtafungwa
Responsive image

Watu 12 akiwemo dereva wamekufa usiku wa kuamkia leo baada ya basi la kampuni ya City Boys kugongana na gari aina ya Fuso katika kijiji cha Makomero Wilaya ya Igunga mkoani Tabora.

Akizungumza na Chumba cha Habari cha TBC,Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Wilbroad Mtafungwa amesema majeruhi 49 wa ajali hiyo wanaendelea kupatiwa Matibabu katika hospitali ya wilaya ya Igunga huku watatu kati yao wakwa wamehamishiwa hospitali ya rufaa ya Bugando Mwanza kutokana na majeraha makubwa waliyonayo kichwani.

 

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment