Responsive image
Responsive image
Posted : March 09, 2018 (2 weeks ago) By TBC
Responsive image
Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahimu Juma
Responsive image

Jaji Mkuu Profesa Ibrahimu Juma amewataka watendaji na wataalamu wa mahakama nchini kujitathmini na kuona namna wanavyoweza kutoa msukumo wa maboresho ya mahakama katika suala la kutoa haki kwa wakati pamoja na kuwezesha wananchi kupata taarifa muhimu zinazohusu haki zao.

Profesa Ibrahimu amesema hayo jijini Arusha wakati akifungua mkutano wa siku nane wa watendaji na wataalamu wa mahakama wenye lengo la kutathmini utekelezaji wa mpango wa maboresho ya mahakama nchini.

SECHELELA KONGOLA

MACHI 09, 2018

 

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment