Responsive image
Responsive image
Posted : March 08, 2018 (2 weeks ago) By TBC
Responsive image
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Mwigulu Nchemba
Responsive image

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Mwigulu Nchemba ametahadharisha umma dhidi ya kauli mbalimbali zisizothibitika kuhusu usalama wa raia na mali zao zinazoweza kuhatarisha amani ya nchi.

Dkt. Nchemba amesema hayo mjini Dodoma katika Mahojiano maalum na TBC ambapo pamoja na mambo mengine amezungumzia madai ya watu kupotea, kutekwa au kuuawa, akisisitiza raia kutoa taarifa kwa vyombo vya dola wanapohofia usalama wao.

 

 

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment