Responsive image
Responsive image
Posted : February 28, 2018 (3 weeks ago) By TBC
Responsive image
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
Responsive image

Serikali imesema itawachukulia hatua wazazi watakaobainika kuwaweka watoto wenye ulemavu ndani badala la ya kuwapeleka shule kusoma.

Hayo yamesemwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipokuwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kitangali Wilayani Newala ambapo amesema watoto wote wana haki sawa ya kupata elimu..

Majaliwa amesema serikali inaendelea kuboresha miundombinu  ya elimu kwa watoto wenye mahitaji maalum katika shule zote nchini ikiwa ni pamoja na kuandaa mazingira rafiki kwa watoto wenye ulemavu ili waweze kupata elimu bora

 

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment