Responsive image
Responsive image
Posted : February 22, 2018 (3 months ago) By TBC
Responsive image
Rais mpya wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa
Responsive image

Serikali ya Rais mpya wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, imetangaza bajeti yake mpya yenye lengo la kubana matumizi kwa mwaka ujao wa fedha.

Kwa mujibu wa bajeti hiyo, ushuru katika bidhaa mbalimbali umeongezeka, ongezeko ambalo linaonekana kuwa kubwa katika kipindi cha miaka ishirini iliyopita.

Afrika Kusini inajaribu kubana matumizi na kuongeza ushuru ili kujaribu kukuza uchumi wa nchi hiyo ambao kwa siku za hivi karibuni umeendelea kukua pole pole, huku pia ikijaribu kupunguza madeni.

 

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment