Responsive image
Responsive image
Posted : February 16, 2018 (a month ago) By TBC
Responsive image
Balozi wa Tanzania nchini Sweden Dkt. Wilbroad Slaa, alipokuwa akiapa kuwa balozi, mbele ya Rais Dkt. John Magufuli
Responsive image

Raisi Dkt John Magufuli amewaapisha Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dkt Wilbrod Slaa na balozi wa Tanzania nchini Nigeria, Muhidin Ally.

Zoezi la kuapishwa mabalozi hao limefanyika Ikulu jijini Dar es salaam  na kuhudhuriwa na baadhi ya viongozi akiwemo Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John Kijazi na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki Dk.Suzan  Kolimba.

Naibu waziri Dokta Kolimba amewaasa mabalozi hao kufanya kazi kwa uzalendo..

Wakizungumza mara baada ya kula kiapo mabalozi hao wameahidi kufanya kazi kwa ushirikiano na kwa maslahi ya nchi.

 

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment