Responsive image
Responsive image
Posted : February 14, 2018 (3 months ago) By TBC
Responsive image
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo
Responsive image

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa - TAMISEMI, Selemani Jafo amekataa kuzindua Mradi wa Maji uliopo katika kijiji cha Itiso wilayani Chamwino mkoani Dodoma baada ya kubaini wakazi wa kijiji hicho wameharibu miundo mbinu ya mradi huo, na kumlaumu mkandarasi wa mradi huo.

Akizungumza na wakazi wa kijiji hicho Jaffo ametaka wananchi kulinda miradi ya maendeleo na kuthamini jitihada zinazofanywa na serikali katika kutatua kero mbali mbali za wananchi.

Mradi wa maji wa Itiso umegharimu zaidi ya shilingi milioni 330.

ANETH ANDREW

FEBRUARI 14, 2018

 

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment