Responsive image
Responsive image
Posted : February 12, 2018 (2 months ago) By TBC
Responsive image
Baadhi ya watu wakiangalia magari yaliyogongana na kusababisha maafa mkoani Tanga
Responsive image

Miili ya watu waliokufa katika ajali ya barabarani iliyotokea mapema leo Mkoani Tanga imetambuliwa.

Watu watano wamekufa na wengine sita kujeruhiwa katika ajiali hiyo iliyohusisha magari ya abiria Toyota Hiace na basi katika eneo la Segera.

Kaimu Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Tanga Leonis Rwegasira amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kwamba majeruhi wanapatiwa matibabu katika Kituo cha Afya Kabuku ambapo miili ya marehemu imehifadhiwa katika Hospitali ya Wilaya ya Korogwe.

BERTHA MWAMBELA

FEBRUARI 12, 2018.

 

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment