Responsive image
Responsive image
Posted : September 13, 2017 (5 months ago) By TBC
Responsive image
Mkutano wapamoja kati ya mamlaka ya Mawasiliano Tanzania -TCRA na waandishi wa habari
Responsive image

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania -TCRA imepiga marufuku utoaji  wa taarifa zisizo sahihi katika mitandao ya jamii.

Katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam Mwenyekiti wa maadhui wa huduma za mawasiliano TCRA, Valerie Msoka amesema hatua hiyo imefikiwa kufuatia kukithiri kwa matumizi holela ya mitandao katika utoaji taarifa na usambazaji wa picha.

Kuhusu suala la kumaliza changamoto za matumizi holela ya mtandao, Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Televisheni na Radio wa TCRA, Mhandisi Andrew Kisaka amesema ni muhimu wadau wa habari wakashirikishwa kutatua changamoto za kimtandao.

 

Levina Kateule

13 Septemba 2017

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment