Responsive image
Responsive image
Posted : September 13, 2017 (5 months ago) By TBC
Responsive image
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu
Responsive image

Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amesema serikali inatambua changamoto zinazowapata wanafunzi wa kike kwa kukosa taulo za kike kutokana na gharama kuwa a kubwa.

Akijibu swali la mbunge wa Viti Maalumu Stella Ikupa, Waziri Ummy amesema wizara ya fedha bado inafanyia kazi suala hilo na litakapokamilika wananchi watajulishwa.

 

 DOOREN MLAY

SEPTEMBA 13, 2017

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment