Responsive image
Responsive image
Posted : September 13, 2017 (5 months ago) By TBC
Responsive image
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashantu Kijaji
Responsive image

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashantu Kijaji amesema watendaji wote wa halmshauri wanatakiwa kusimamia mazao yote ya biashara chini ya tani moja kuhakikisha kuwa hayalipiwi ushuru.

Naibu Waziri Kijaji ameyasema hayo wakati akijibu swali la Mbunge wa Babati Pauline Gekuli kuhusu wakurugenzi na mawakala kuendelea kuwatoza ushuru wakulima.

Awali kabla ya kipindi cha maswali na majibu, hati tatu za kuwasilishwa mezani zilipokelewa na bunge

DOREEN MLAY

SEPTEMBA 13, 2017

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment